MNDEME: MANAHODHA TUMIENI WELEDI KUEPUSHA AJALI ZINAZO EPUKIKA
Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara Ndg.Christina Mndeme amewata waendesho vyombo vya maji (Manahodha) kuhakikisha wanatumia weledi wao wakiwa kazini kwa lengo la kuepusha ajali zisizokuwa na ulazima. Ameyasema hayo alipopanda kivuko cha Mv Mwanza kilichopo katika ziwa Victoria Mkoani Mwanza. Tafadhali msikilize Hapo👇
Post a Comment