Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo anaendelea na kampeni hiyo.
Leo Jumamosi, tarehe 13.8.2022 atakuwa ndani ya Kata ya Bugoji yenye Vijiji 3.
Kesho, Jumapili tarehe 14.8.2022 atakuwa ndani ya Kata ya Etaro yenye Vijiji 4.
MWITIKIO wa WANAVIJIJI wa Jimboni mwetu ni mzuri sana sana. Wanakubali kuhesabiwa kwa kiwango cha Asilimia 100 (100%).
Tafadhali wasikilize Wakijiji wa Kijiji cha Nyasaungu, Kata ya Ifulifu - CLIP/VIDEO ya Taarifa ya Habari imeambatanishwa hapa.
Usiache kutembelea TOVUTI ya Jimbo letu ambayo ni:
https://ift.tt/1qwLQYZ
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
https://ift.tt/1qwLQYZ
Tarehe:
Ijumaa, 12.8.2022


Post a Comment