Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini anaendelea na KAMPENI za kuelimisha na kuhamasisha ushiriki mzuri kwenye SENSA ya WATU na MAKAZI.
Jumatano, 10.8.2022 alikuwa Kijijini Nyasaungu, Kata ya Ifulifu.
Wakazi wa Kijiji hiki ni WAFUGAJI na WAKULIMA
Tafadhali sikiliza CLIP/VIDEO ya Taarifa ya Habari kuhusu uelewa wao mzuri sana juu ya umuhimu wa SENSA ya Watu na Makazi.
Leo, Alhamisi, 11.8.2022, Mbunge huyo alipiga Kampeni hiyo kwenye Kata za Bugwema (Vijiji 4) na Bugoji (Vijiji 3)
Kesho, Ijumaa, 12.8.2022 ataendelea na Kampeni hiyo kwenye Kata za Nyambono (Vijiji 2) na Etaro (Vijiji 4)
Kesho, Mhe Mkuu wa Wilaya yetu, Dkt Khalfani Haule atapiga Kampeni hiyo kwenye Kata ya Suguti (Vijiji 4)
MUSOMA VIJIJINI - KAMPENI YA UHAMASISHAJI WA USHIRIKI WA ASILIA 100 KWENYE SENSA YA WATU NA MAKAZI INAENDELEA HADI TAREHE 22.8.2022
Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
https://ift.tt/1qwLQYZ


Post a Comment