Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Davidi Silinde Agosti 9, 2022 walienda katika Kijiji cha Boliani Mpwapwa kutatua changamoto mbalimbali zinazokikabili, ikiwemo uhaba wa vyumba vya madarasa, vyoo, nyumba za walimu, umeme, zahanati na barabara.
Mkuu wa Wilaya ya Mpwawa, Mwalimu Josephat Mganga akitoa maelezo mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Senyamule na Naibu Waziri Ofisi ya Rais (TAMISEMI), David Silinde kuhusu changamoto mbalimbali zinaoikabili shule ya msingi Kiboliani.
Sinde akiahidi kutatua baadhi ya changamoto za shule hiyo ikiwemo kuongeza vyumba vya madarasa, nyumba ya walimu.
PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, wanannchi wa kijiji hicho wakielezea kero zao na viongozi hao wakitoa ahadi ya kuzitatua....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
0754264203
Post a Comment