Featured

    Featured Posts

CCM KUFANYA KIKAO CHA NEC LEO, JUMAMOSI, JAN. 14, 2023, JIJINI DAR ES SALAAM

CCM Blog, Dar es Salaam

Chama Cha Mapinduzi (CCM) leo Jumamosi, Januari 14, 2023 kinatarajiwa kufanya Kikao cha Halamashauri Kuu ya Taifa (NEC) kikiongozwa na Mwenyekiti wake Rais Samia Suluhu Hassan.


Kwa mujibu wa taaifa zilizopatikana, kikao hicho kitafanyika Jijini Dar es Salaam, kuanzia Saa 5:00 asubuhi na kitakuwa kikao cha kwanza cha juu cha CCM kufanyika mwaka huu wa 2023. 

Mwenyekiti wa CCM Rais Samia Suluhu Hassan.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana