Featured

    Featured Posts

ZIARA YA KOMREDI CHONGOLO WILAYANI MANYONI



Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Singida Ndugu Peter (kushoto) wakati wa kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana  Solya iliyopo Tarafa ya Kilimatinde, Kata ya Solya, Wilaya ya Manyoni mkoani Singida.


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema akizungumza mara baada ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Wasichana ya Solya mkoani Singida.

 

 Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Haji Ussi (Gavu) akizungumza mara baada ya kutembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa Shule ya Wasichana ya Solya mkoani Singida.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na wananchi wa shina namba 5, Manyoni ikiwa siku ya kwanza ya ziara yake ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025, Manyoni mkoani Singida
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipitia taarifa ya shina namba 5 walioketi pamoja nae ni Mwenyekiti wa Shina Bi. Fatma Juma (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida Ndugu Martha Mlata (kulia) ikiwa siku ya kwanza ya ziara ya kukagua na kusimamia utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025, Manyoni mkoani Singida.
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa TANROAD mkoa wa Singida Mhandisi Msama Costatine Msama (kushoto) alipotembelea mradi wa ujenzi wa barabara kwa kiwango cha lami cha kilomita 25 kwa gharama ya shilingi bilioni 29.7
 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana