Featured

    Featured Posts

CHONGOLO AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI KITUO CHA AFYA BASOTU, HANANG

Katibu Mkuu wa ChamaCha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na wanachama wa CCM na wakazi wa Hanang mara baada ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa kituo cha Afya  Basotu, Hanang mkoani Mara.

Katibu Mkuu wa ChamaCha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akiangalia daftari maalum la wakina mama waliofika na kujifungua katika kituo cha afya Basotu wengine pichani ni Mganga Mkuu wa Wilaya yan Hanang (kulia) na katikati ni Muuguzi wa wodi ya wazazi Ndugu Nicodemus Ingi .

 


:Sehemu ya wanachama wa CCM na wakazi wa Basotu waliojitokeza kumsikiliza Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo ambaye pamoja na wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa walifika Basotu na kujionea maendeleo ya ujenzi wa Kituo cha Afya Basotu.

 


 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana