Na Bashir Nkoromo, CCM Blog
Zaidi ya Sh. milioni 3 zimechangwa na wadau jijini Dar es Salaam, kusaidia walioathirika na tetemeko la ardhi lililotokea mwezi uliopita katika nchi za Uturuki na Syria na kuasababisha maafa makubwa ikiwemo vifo, watu kukosa makazi na upotevu wa mali.
Fedha hizo zilichangwa jana katika mnada wa papo hapo wa keki na bidhaa za urembo uliofanyika mwishoni mwa matembezi yaliyoandaliwa na Taasisi za Kijamii za Happy Hands na Under Lusia, kuanzia Hospitali ya Agakhan hadi Mgahawa wa Green Garden.
Katika matembezi hayo Balozi wa Uturuki hapa nchini Dk. Mehmet Gulluoglu, Balozi wa Indonesia Triyogo Sotmiko na Balozi wa Comoro Ahmed Badaui na Wawakilishi kutoka Ubalozi wa Syria na vijana wa kujitolea, walishiriki matembelezi hayo sanjari na maafisa na watu mbalimbali kutoka Balozi hizo.
Balozi wa Uturuki hapa nchini Dk. Mehmet Gulluoglu na Balozi wa Indonesia Triyogo Sotmiko (kulia), wakiwa katika matembezi hayo kupitia Daraja la Tanzanite. Washiriki wakiwa kwenye matembelezi hayo.Washiriki wakiwa kwenye matembezi hayo.
Washiriki wakiongoza matembezi hayo.
Washiriki wakiwa kwenye matembezi hayo.
Washiriki wa kwenye matembezi hayo.
Mshiriki akiwa amembeba mtoto wake katika matembezi hayo.
Matembezi yakiendelea.
Vijana wa kujitolea wakiwa kwenye matembezi hayo.
Vijana wakiwa kwenye matembezi hayo.
washiriki wakiwsili kwenye mgahawa wa The Green Garden
Mmoja wa waandaaji kutoka Shake Hands akikaribisha washiriki wa matembezi hayo.
Watoto walioshiriki matembezi hayo wakiwa wameketi kusubiri matukio mengine.
Washiriki wa matembezi wakiwa wamekaa kusubiri ratiba nyingine
Kijana akitangaza utaratibu unaoendelea
Rais wa Shake Hands Madam Zeinab Bunamay (katikati) akiwapa maelekezo vijana.
Kijana Ahmed Masoud akifanya dua.
Hajra Mohammad akisoma risala
Walioshiriki matembezi wakisikiliza risala
Kijana Azzan Mustafa akisoma risala
Washiriki wa matembezi wakisikiliza risala
Washiriki wa matembezi wakiwa kwenye tukio hilo.
Keki maalum iliyonadiwa. Balozi wa Uturuki hapa Nchini Dk. Mehmet Gulluoglu akizungumza.
Balzo wa Comoro akimpongeza Balozi Dk. Gulluoglu kwa kuzungumza vema. katikati ni Balozi wa Indonesia Triyogo Sotmiko. Balozi wa Indonesia Triyogo Sotmiko akimpongeza Balozi Dk. Gulluoglu kwa kuzungumza vema. Kijana akiendesha mnada.
Balozi wa Indonesia akipanda dau kununua keki.
Balozi Dk. Gulluoglu akipanda dau kununua keki.
Mnada wa keki ukiendelea.
Vitafunwa mbalimbali vikiuza kupata fedha za kuchangia maafa hayo ya tetemeko la ardhi.
Keki ikikatwa kugawiwa walionunua.
Picha ya kumbukumbu.
Picha ya kumbukumbu
Picha ya kumbukumbu.
Balozi Dk. Gulluoglu akijadili jambo na Rais wa Shake Hands Madam Zeinab Bunamay mwishoni mwa hafla hiyo.
©March. 2023 CCM Blog/Bashir Nkoromo
Post a Comment