Featured

    Featured Posts

BINTI WA TANZANIA AWA MCHEZAJI BORA MASHINDANO YA CAF


MCHEZAJI wa Fountain Gate, Wilifrida Gerald ametwaa tuzo ya Mchezaji Bora baada ya pia kuibuka Mfungaji Bora kwa mabao yake 11, huku Kipa Bora ikienda pia kwa Allic Neckema wa Fountain Gate na tuzo ya Mchezo wa Kiungwana imechukuliwa na Anse Boileau wa Shelisheli.

Kwa wavulana, Mchezaji Bora ni Kagiso Maloka wa Clapham High School na mabingwa, CS Ben Sekou Sylla wametos Kipa Bora Ibrahima Camara wa na mfungaji Bora Mohamed Sacko aliyefunga mabao sita akimzidi moja mchezaji mwenzake wa timu hiyo ya Guinea, Amara Keita.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana