Featured

    Featured Posts

RIPOTI YA CAG YAZIDI KUANIKA MADUDU MENGI YA UBADHIRIFU WA MALI YA UMMA=video

 Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere akielezea mbele y iliyowasilishwa kwa Rais na bungea vyombo vya habari jijini Dodoma Aprili 6, 2023 kuhusu yaliyojiri katika ripoti ya ukaguzi huo kwa mwaka 2021/2022.

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Daniel Sillo akitoa maoni yake kuhusu ripoti hiyo ya CAG..

Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali,Mugenjwa Kaboyoka akitoa maoni yake kuhusu ripoti hiyo pamoja na utaratibu wa bunge kuijadili.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, CAG Kichere akisoma ripoti hiyo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana