Featured

    Featured Posts

DKT KAIJAGE ATAKA TAESA, BODI YA AJIRA SEKTA BINAFSI ZIONGEZEWE BAJETI+video


 Mbunge wa Viti Maalumu, Dkt Alice Kaijage ameishauri serikali kuziongezea bajeti Wakala wa Huduma ya Ajira Tanzania,TAESA, na Bodi ya Ajira ya Sekta Binasfi ili kuzipa nguvu ya utendaji. Aidha ameipongeza serikali kuongeza kima cha chini cha mshahara katika sekta binafsi. Ametoa ushauri huo alipokuwa akitoa mchango wake wakati wa mjadala wa Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu, bungeni Dodoma Aprili 12, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Dkt Kaijage akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana