Featured

    Featured Posts

MBUNGE SILLO AITAKA SERIKALI KUJENGA JENGO LA MAMA NA MTOTO KITUO CHA AFYA GALAPO+video


 Mbunge wa Babati Vijijini, Daniel Sillo ameiomba serikali kujenga majengo ya Mama na Mtoto na cha kuhifadhia maiti katika Kituo cha Afya cha Galapo, Babati. Serikali kupitia TAMISEMI imetoa ahadi ya kujenga majengo hayo baada ya kutengewa fedha. Ametoa ombi hilo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 13, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Sillo akipambania ujenzi wa majengo hayo muhimu...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI 
BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana