Featured

    Featured Posts

KIKAO CHA KAMATI KUU YA HALMASHAURI KUU YA CCM CHAFANYIKA LEO, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kilichofanyika leo, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Wajumbe wa Kamati Kuu Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwekyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi na kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kilichofanyika leo, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais Dk. Hussein Mwinyi.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kilichofanyika leo, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Walioketi kulia na kushoto ni Wajumbe wa Kikao hicho.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwekyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi, akiwa makini kwenye kikao hicho.
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Samia Suluhu Hassan, akienda ukumbini kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa, kilichofanyika leo, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwekyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Mwinyi, akienda ukumbini kwenye kikao hicho. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM Daniel Chongolo.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana