Featured

    Featured Posts

CHONGOLO AWAPASHA WAPINZANI, HAKUNA CHAMA CHENYE UHITAJI WA KATIBA BORA ZAIDI YA CCM+video

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akihutubiawakati wa mapokezi katika ofisi za CCM Wilaya ya Mufindi Mjini Mafinga tayari kuanza ziara ya siku 7 katika Mkoa wa Iringa kwa ajili ya  kukihuisha chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM Mei 27, 2023. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mufindi, Yassin Daud.


Chongolo amesema kuwa hakuna mtu wala chama chochote cha siasa chenye uhitaji wa Katiba Bora zaidi ya CCM.

Chongolo akisalimiana na Mbunge wa Ismani, William Lukuvi.
Chongolo akisalimiana na Mbunge wa Mafinga Mjini, Cosato Chumi.


Akisamiana na wazee wa kimila



Katibu wa NEC, Siasa na Uenezi, Sophia Mjema akihutubia wakati wa hafla ya mapokezi.




Chongolo akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Mufindi, Yassin Daud.


 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana