Featured

    Featured Posts

ZIARA YA COMREDI CHONGOLO KURINDIMA MKOANI IRINGA


 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Comredi Daniel Chongolo anaanza  leo ziara ya siku  7 mkoani Iringa ya kukihuisha Chama na kukagua utekelezaji wa Ilani ya Chama.

Katika ziara hiyo ataambatana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC,  Oganaizesheni, Haji Issa Gavu.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana