Featured

    Featured Posts

RAIS SAMIA NA MUSEVENI WAZINDUA MRADI WA KUFUA UMEME WA KIKAGATI-MURONGO, MBARALI NCHINI UGANDA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakizindua Mradi wa Kufua Umeme wa Kikagati–Murongo, Mbarara nchini Uganda, leo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Samia Suluhu Hassan na Rais Yoweri Museveni wa Uganda wakizungumza jambo kuhusu mradi huo wa Kufua Umeme wa Kikagati–Murongo, Mbarara nchini Uganda, baada ya kuuzindua, leo.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana