Featured

    Featured Posts

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU DANIEL CHONGOLO KUANZA KESHO ZIARA YA SIKU SABA MKOANI IRINGA

Na Bashir Nkoromo, CCM Blog

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo kesho Mei 26, 2023 atanza ziara ya siku 7 mkoani Iringa, kuimarisha uhai wa Chama ngazi za mashina, kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM na kusikiliza kero za wananchi zipate utatuzi.


Katika ziara hiyi Katibu Mkuu ataongozana na Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema na Katibu wa NEC, Organaizesheni Ndugu Issa Haji Gavu.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Daniel Chongolo

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana