Featured

    Featured Posts

RAIS DK. MWINYI AREJEA ZANZIBAR LEO BAADA YA ZIARA YAKE QATAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amerejea leo Zanzibar akiwa na mkewe Mama Mariam Mwinyi pamoja na ujumbe wake, baada ya ziara yake ya siku nne nchini Qatar.


Rais Dk. Mwinyi alimwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Samia Suluhu Hassan katika Jukwaa la  tatu la Kimataifa la Uchumi la Qatar lililofanyika jijini Doha ambako pia alipata nafasi ya kukutana na viongozi mbalimbali na kutembelea Makumbusho ya kihistoria na pia kushuhudia utiaji saini ya makubaliano katika masuala ya uwekezaji kati ya Mamlaka ya kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) na kampuni ya Armisite Group.

Tazama Hapo👇


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana