Featured

    Featured Posts

MWANYIKA: NJOMBE MJINI ITENDEWE HAKI KWENYE MIRADI YA MAJI+video

 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ametoa kilio chake kwa serikali kuviengua vijiji 40 kwenye mradi wa maji vya Njombe Mjini kwa madai kuwa viko mjini,

Pamoja na mambo mengine Mwanyika ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Wizara ya Maji bungeni Dodoma Mei 10, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akielezea jambo hilo kwa masikitiko...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana