Featured

    Featured Posts

MWENYEKITI HALMASHAURI KIBAHA MJINI MUSSA NDOMBA AWAPONGEZA UBONGO

Na Dismas LYASSA, Kibaha

Mwenyekiti wa Halmshauri ya Mji wa Kibaha, Mussa Ndomba ameipongeza taasisi ya Ubongo kwa kazi nzuri wanayofanya kwa kuimarisha sekta ya elimu nchini.
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kibaha, Mussa Ndomba

Akizungumza wakati akifunga na kufungua semina ya taasisi hiyo kwa walimu ya shule za awali na msingi Kibaha Mjini iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Njuweni Kibaha, Mwenyekiti Ndomba alisema elimu ni muhimu sana hivyo inapoboreshwa maana yake inasaidia kuharakisha maendeleo kwa ujumla.

Nae Mwakilishi wa Ubongo mkoani Pwani, Philemon Mabuga (aliyenyoosha mkono), aliipongeza Serikali kutokana na ushirikiano mzuri inaotoa kwa Ubongo na wadau wengine wa maendeleo ikiwamo kuwapa vibali Ubongo vya kufanya shughuli zake za kusaidia jamii.






author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana