Featured

    Featured Posts

NJEZA: BARABARA YA MCHEPUKO YA MLIMA NYOKA HADI UWANJA WA NDEGE SONGWE UJENZI WAKE UTAANZA LINI?


 Mbunge wa Mbeya Vijijini, Oran Njeza amehoji bungeni Dodoma mEI 15, 2023, ni lini serikali itaanza kujenga barabara ya mchepuko ya Mlima Nyoka hadi Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Songwe?

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mbunge Njeza akiipambania barabara hiyo...

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana