Featured

    Featured Posts

PROF NDAKIDEMI: CHONDE CHONDE WENYE UHITAJI WA VIUNGO BANDIA WAHUDUMIWA NA SERIKALI+video


 Mbunge wa Moshi Vijijini, Profesa Patrick Ndakidemi ameiomba serikali kuwahudumia wagonjwa masikini wenye uhitaji wa viungo bandia.Aidha ameomba Hosptali ya Kanda ya KCMC iongezewe madaktari na wahudumu wa sekta ya afya kwani hivi sasa kuna upungufu mkubwa wahudumu hao. Ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma Mei 15, 2023.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Prof. Ndakidemi akitoa mchango wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana