Featured

    Featured Posts

RAIS WA YANGA ATINGA SHEREHE ZA UZINDUZI WA IKULU MPYA CHAMWINO+video

Rais wa Yanga, Hers Said amekuwa ni miongoni mwa waalikwa waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa Ikulu mpya ya Chamwino Dodoma uliofanywa na Rais Samia Suluhu Hassan Mei 20, 2023
Hers akiwa na Haji Manara pamoja na waalikwa wengine.

Mdau, nakuomba uendelee kuangalia kupitia clip hii ya video, Hers akijumuika katika sherehe hizo..IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana