Featured

    Featured Posts

CHONGOLO ASHIRIKI MSIBA WA MZAZI WA KATIBU WA TAWI LA CCM MPWAPWA MJINI.


 Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo akimfariji Katibu wa Tawi la CCM la Mpwapwa Mjini, Zena Chande aliyefiwa na mama yake mzazi Rosemary Njemeti. Kulia ni Katibu wa CCM Mkoa wa Dodoma, Pili Augustine.


Chongolo alifika kuhani msiba huo akiwa katika ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji  wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kuhamasisha uhuishaji wa chama na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana