Featured

    Featured Posts

KOMREDI CHONGOLO AANZA ZIARA MPWAPWA

 

Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Chongolo akilakiwa na viongozi wa Chama mara baada ya kuwasili Mjini Mpwapwa tayari kuanza ziara ya kikazi ya kukagua utekelezaji  wa Ilani ya uchaguzi ya CCM, kuhamasisha uhai wa chama kuanzia ngazi ya Shina na kusikiliza kero za Wananchi na kuzitafutia ufumbuzi.

Baada ya kulakiwa ameshiriki kikao Cha ndani cha CCM na kupatiwa taarifa ya Hali ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya Mkoa na Wilaya hiyo.



Katika ziara hiyo ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Issa Haji Gavu.
Sehemu ya viongozi wa CCM waliohudhuria mkutano huo.




 Baadhi ya viongozi wa Taasisi.

PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA 

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana