Featured

    Featured Posts

CHONGOLO ATAKA HOSPITALI YA UHURU ITENDEWE HAKI

Katibu Mkuu, Daniel Chongolo ametembelea Hospitali ya Uhuru Chamwino, mkoani Dodoma na kubaini mambo mengine kutokuwa sawa,hivyo  ameiagiza Wizara ya Tamisemi kurejebisha mambo hayo Ili Hospitali hiyo iwe na hadhi ya Hospitali ya Wilaya kama ilivyosajiliwa.

Chongolo ametoa agizo hilo aliposimama kwa muda kukagua  hospitali  hiyo akiwa katika ziara ya kikazi wilayani Chamwino Juni 18, 2023.


Katika ziara hiyo yenye lengo la kakagua utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM ya nwaka 2020-2925, kuhamasisha uhai wa chama kuanzia ngazi ya Shina na kusikiliza kero za Wananchi pamoja na  kuzitafutia ufumbuzi, ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Sophia Mjema pamoja na Katibu wa NEC Oganaizesheni, Issa Haji Gavu.


 Akiwa na Mganga Mkuu wa Wilaya Chamwino, Dk.  Eusebi Kessy.


 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana