Featured

    Featured Posts

CHONGOLO KUMUITA WAZIRI MCHENGERWA KUWALIPA FIDIA WALIOATHIRIWA NA TEMBO KONDOAvideo

Katibu Mkuu wa CCM, Daniel Chongolo ameahidi kulivalia njuga la ulipaji fidia kwa wanaoathiriwa na tembo nchini na kwamba atamwita Waziri wa Maliasili na Utali
i, Mohamed Mchangerwa ili kupata ufumbuzi wa haraka.

Ameyasema hayo baada ya kusikiliza kilio cha wananchi wa Itaswi, Kondoa Vijijini wakati wa ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM, kukihuisha chama kupitia  ngazi ya mashina na kuzisikiliza kero na kuzitafutia ufumbuzi.
Wananchi na wanachama wa CCM shina namba 6 Kata ya Itaswi, Kondoa Vijijini wakiwa na furaha baada ya Katibu Mkuu Chongolo kuamua kulipatia suluhisho tatizo hilo.



IMEANDALIWA NA RIJCHARD MWAIKENDA






 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana