Featured

    Featured Posts

CRDB YADHAMINI BUNGE GRAND BONANZA video

Mkurugenzi wa Mahusiano wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akimkabidhi Mwenyekiti wa  Bunge Grand Bonanza, Festo Sanga vifaa mbalimbali vya michezo kwa ajili ya bonanza linalofanyika Juni 24, 2023 kwenye viwanja vya Merlin Miyuji jijini Dodoma.

Benki ya CRDB imedhamini Bunge Grand Bonanza kwa miaka 3 litakalofanyika Juni 24, 2023 kwenye viwanja vya shule ya Merlin eneo la Miyuji jijini Dodoma. Mgeni rasmi katika Bonanza hilo litakaloanza na matembezi kutoka Chuo cha Mipango hadi kwenye viwanja hivyo, atakuwa mgeni rasmi atakuwa Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango. Bonanza litakuwa na michezo mbalimbali ambayo ni: soka, pete, kikapu, marathon, kuvuta kamba, kufukuza kuku, bao, karata na mingineyo.






Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video...

 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana