Featured

    Featured Posts

MWANYIKA ACHANGIA MAKUBWA MJADALA WA BAJETI KUUvideo

Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika amechangia mambo mengi makubwa wakati wa kujadili hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2022 na Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024 ikiwemo sekta ya misitu inavyoweza kusaidia kuinua uchumi wa nchi, pia sekta hiyo inavyoweza kuzalisha kama ilivyo biashara ya dhahabu. Ametoa mchango wake huo bungeni Dodoma Juni 22, 2023.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana