Featured

    Featured Posts

MWANYIKA AIBANA SERIKALI, YAKUBALI KUJENGA BARABARA YA NJIA NNE NJOMBE+video

Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi imekubali ombi la muda mrefu la Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika kwamba sasa barabara ya Makambako -Njombe kujengwa njia nne ili kuepusha msongamano kwani sasa Mji wa Njombe umekuwa na una shughuli nyingi. Ombi hilo limekubaliwa baada ya Mwanyika kuhoji bungeni Dodoma Juni 12, 2023 kwamba ni lini serikali itaanza ukarabati mkubwa wa barabara kuu ya Makambako hadi Njombe?

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mwanyika akipambania ujenzi wa barabara hiyo muhimu...
 

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana