Featured

    Featured Posts

PROF MUHONGO ACHANGIA MAKUBWA BUNGENI MPANGO WA MAENDELEO NA BAJETI YA MWAKA 2023/2024




Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo ametoa mapendekezo ya ukuaji wa uchumi kwa kasi kubwa na uondoaji mkubwa wa umaskini kwa kuelezea:

*umuhimu wa uchumi wetu kukua kwa zaidi ya Asilimia 8 kwa mwaka (8-10% growth)
*umuhimu wa umeme mwingi, wa uhakika na wa bei nafuu
*umuhimu wa uchumi wa gesi

Tafadhali msikilize Prof Muhongo kutoka kwenye CLIP/VIDEO iliyoambatanishwa hapa.

Ofisi ya Mbunge
Jimbo la Musoma Vijijini
https://ift.tt/okbhlZd


 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana