Featured

    Featured Posts

UWT MKOA WA DAR ES SALAAM YATOA SALAM MAADHIMISHO YA SIKU YA MTOTO WA AFRIKA

Dares Salaam

Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) mkoa Dar es Salaam, umetoa salam za Maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika, ambayo ni leo Juni 16, 2026.


"UWT mkoa wa Dar es Salaam, taungana na Mataifa yote katika kuadhimisha siku hii ya Mtoto wa Afrika leo Juni 16, 2023. 


Ni wajibu wetu kuwatunza, kuwalinda, na kuwaelimisha watoto katika ulimwengu wa kidigital ili kuwalinda dhidi ya ukatili wa kijinsia Mitandaoni. 


Watoto ni tunu tuwalee katika malezi na maadili bora ili kupata taifa lenye watu wenye maadili na nidhamu kwa maendeleo ya baadae", amesema Mwenyekiti wa UWT mkoa huo Mwajabu Mbwambo katika salam hizo.


Kauli mbiu ya Maadhimisho hayo ni "Zingatia Usalama wa Mtoto katika Ulimwengu wa kidigitali".




author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana