Featured

    Featured Posts

ZIARA YA KITAIFA YA RAIS DK. SAMIA KATIKA MJI WA NEW DELHI, INDIA, LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023. Kushoto ni Rais wa India Mhe. Droupadi Murm.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu pamoja na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi mara baada ya kuwasili Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.

Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.
Shamrashamra za mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua Gwaride la Heshima wakati wa hafla ya mapokezi yake katika viwanja vya Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na viongozi mbalimbali wa Serikali ya India wakati wa mapokezi yake katika viwanja vya Ikulu ya India (Rashtrapati Bhawan) New Delhi nchini humo tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akijibu swali lililoulizwa na waandishi kuhusu mategemeo ya ziara yake nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi wakati wakielekea kwenye mazungumzo katika Jengo Maalum la kupokelea wageni wa Kitaifa Hyderabad House New Delhi Nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na ujumbe wake akiwa na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi katika mazungumzo Rasmi katika Jengo Maalum la kupokelea wageni wa Kitaifa Hyderabad House New Delhi Nchini India tarehe 09 Oktoba, 2023. 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Rais wa India Mhe. Droupadi Murmu baada ya mapokezi katika Ikulu ya India tarehe 09 Oktoba, 2023

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Waziri Mkuu wa India Mhe. Narendra Modi baada ya mapokezi katika Ikulu ya India tarehe 09 Oktoba, 2023
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana