Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT), Mary Chatanda akiwasilisha maoni na ushauri wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kikao cha Kamati ya Bunge ya Kudumu ya Utawala, Katiba na Sheria cha kukusanya maoni kuhusu Miswada ya marekebisho ya sheria ya Uchaguzi wa Rais, wabunge na madiwani, Tume ya Taifa ya Uchaguzi na sheria mbalimbali kwenye Ukumbi wa Bunge wa Msekwa jijini Dodoma Januari 9,2024.
Aidha amechukua fursa hiyo kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa ujasiri wake tena bila kuogopa kuruhusu marekebisho ya sheria hizo.
Chatanda akiwa katika kikao hicho kilichoongozwa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Dkt Joseph Mhagama.
Baadhi ya WanaCCM waliomsindikiza Chatanda wakiwa katika kikao
Baadhi ya wabunge wakiwemo wajumbe wa kamati hiyo wakisikiliza wakati Chatanda akiwasilisha maoni na ushauri wa
Chatanda akiwa na baadhi ya wanafunzi wa vyuo walioshiriki kutoa maoni
Chatanda akiwa na baadhi ya wabunge wanawake
Post a Comment