Amiri Jeshi Mkuu Rais Dk. Samia Suluhu Hassan akihutubia Viongozi, Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakati akifungua mkutano wa CDF na Makamanda uliofanyika Lugalo Jijini Dar es Salaam, leo Januari 22, 2024.
Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiwa kwenye Mkutano huo. Wakuu wa Kamandi, Wakuu wa Matawi na Maafisa Majenerali mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakiwa kwenye Mkutano huo.

Post a Comment