Featured

    Featured Posts

TRENI YAGONGWA NA GARI DOGO

Leo majira ya saa 2:00 asubui eneo la vingunguti jijini Dar es Salaam kumetokea ajari ambapo gari ndogo imeigonga treni ya abiria amboyo ilikua inatokea Dar kuelekea Mpanda, Kigoma, Mwanza na Tabora.

Bado aijaripotiwa kutokea na kifo chochote bali ni majeruhi mmoja ambaye alikua ni dereva wa gari ndogo ambaye amekimbizwa hospitalini kwaajili ya matibabu.


author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana