Featured

    Featured Posts

RAIS MAGUFULI AMPIGIA KURA ZITTO KABWE KUMPA POLE KWA AJALI

 

Rais Dkt. Magufuli amempigia simu na kumpa pole Zitto Zuberi Kabwe aliyepata ajali ya gari jana Mkoani Kigoma, amemuombea heri ili apone haraka na pia amewashukuru Madaktari na Wauguzi wa Kituo cha Afya cha Kalya na Hospitali ya Maweni kwa matibabu waliyompa.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana