Kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ibrahim Mwakabwanga.akimpongeza mgombea ubunge Jimbo la Mbarali kupitia CCM, Francis Mtega baada ya kampeni.
Kada huyo amewasihi wagombea wote kupambana kuhakikisha wanapata ushindi wa kishindo ili CCM ishike Dola na kuwaletea maendeleo wananchi.
Mwakabwanga ambaye alikuwa miongoni mwa wawania kugombea ubunge katika jimbo hilo, amesema kuwa siasa siyo vita hivyo inatakiwa tufanye kampeni za kistaarabu hadi ushindi upatikane ili tuje tumuunge mkono Dk. Magufuli katika harakati za ujenzi wa Taifa letu. PICHA NA ASHRACK MIRAJI
Post a Comment