Featured

    Featured Posts

WABUNGE WAMCHAGUA MAJALIWA KWA ASILIMIA 100 KUWA WAZIRI MKUU KWA AWAMU YA PILI YA URAIS WA DK. MAGUFULI


Mpambe wa Rais Kanali Benard Paulo Masala Mulunga akimkabidhi Spika wa Bunge Job Ndugai barua kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli yenye pendekezo la Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania aliyemteua, Bungeni Jijini Dodoma, leo Novemba 12, 2020


 Wabunge wakimpongeza Majaliwa Kassim Majaliwa baada ya Spika wa Bunge Job Ndugai kutangaza kuwa Rais Dk. John Magufuli amependekeza lake (Majaliwa) kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bungeni Jijini Dodoma, leo. Baadaye Wabunge walipiga kura na kumkubali kwa kumpa kura 354 sawa na asilimia 100. Kura zilipigwa na jumla ya Wabunge 364. Majaliwa anatarajiwa kuapishwa kesho.

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana