Featured

    Featured Posts

RAIS DK. HUSSEIN MWINYI AFANYA MAZUNGUMZO NA MKURUGENZI WA TAASISI YA MWALIMU NYERERE, IKULU JIJINI ZANZIBAR, LEO

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa baadhi ya Vitabu vya historia ya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere na Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere  Joseph Butiku, Ikulu Jijini Zanzibar leo.
 
RAIS wa Zanzibar wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere Joseph Butiku, wakati alipofika Ikulu kwa mazungumzo na Ujumbe wake waliokaa (kulia ) mazungumzo hayo yamefanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana