Featured

    Featured Posts

MAHAFALI KIDATO CHA SITA SHULE YA FEZA YAFANA

 

Wanafunzi wa shule ya wavulana Feza kidato cha sita  wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wakisherekea mahafali ya kuhitimu elimu hiyo  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijin Dar es salaam. 
Wanafunzi wa shule ya wasichana Feza kidato cha sita  wakiwa kwenye picha ya pamoja
wakati wakisherekea mahafali ya kuhitimu elimu hiyo  katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere jijin Dar es salaam. 

 Mwanafunzi bora kwenye masomo Kidato cha Sita, Avit Kibani wa Shule ya Wavulana  Feza, ambaye amefanya vizuri katika masomo yake akiweka kumbukumbu ya jina lake kwenye kitaru maalumu cha Shule. Kulia  ni Mwenyekiti wa shule za Feza, Ismail Yilmaz  wakati wakisherekea kuhitimu katika .Mahafali yaliyofanyika ukumbi wa Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana. Picha na Ashrack Miraji.
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana