Featured

    Featured Posts

MKEMIa MKUU WA SERIKALI: ATAKAYEKIUKA SHERIA YA MATUMIZI SALAMA YA KEMIKALI, KUFUNGIWA, KUSHITAKIWA+video




Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko ametoa wito kwa wananchi kufuata sheria na kanuni ya matumizi salama ya kemikali ili kulinda maisha ya watu, viumbe na mazingira kwa ujumla na kwamba atakayekiuka atafungiwa ofisi au biashara zake na hata kushitakiwa. Ametoa onyo hilo alipokuwa akifunga mafunyo kwa maafisa na baadhi ya watumiaji wa kemikali yaliyofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dodoma. Zaidi ya washiriki 100 kutoka mikoa mbalimbali walihudhuria mafunzo hayo.




Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt Mafumiko akiwa katika picha na viongozi pamoja na washiriki wa mafunzo hazo baada ya kufuyafunga kwenze Hoteli ya African Dreams jijini Dodoma Novemba 26, 2021.







PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt Mafuniko aktoa tahadhari hiyo na washiriki wakielezea jinsi walivzonufaika na mafunzo hayo.....

author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana