Featured

    Featured Posts

MTOTO WA NAIBU KATIBU MKUU WA CCM ZANZIBAR AFARIKI KWA AJALI YA NDEGE COMORO, CHONGOLO AENDA KUTOA POLE

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (kulia) akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dk. Abdallah Juma Saadalla (Mabodi) alipofika nyumbani kwa Naibu katibu Mkuu huyo eneneo la Chukwani, Unguja, kumpa pole kwa msiba wa mtoto wake Ashraf Abdallah Juma aliyefariki kwa kupata ajali ya ndege aliyokuwa akiiendesha nchini Comoro mwishoni mwa mwezi uliopita.

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo (kulia) akiwa na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar) Dk. Abdallah Juma Saadalla (Mabodi) baada ya kutoa polea kwa Naibu Katibu Mkuu huyo kwa msiba wa mtoto wake Ashraf Abdallah Juma aliyefariki kwa kupata ajali ya ndege aliyokuwa akiiendesha nchini Comoro mwishoni mwa mwezi uliopita. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Bara Christina Mndeme. (Picha na CCM Makao Makuu).
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana