Featured

    Featured Posts

GENZABUKE AMPONGEZA RAIS SAMIA KUAGIZA MIKOPO YA HALMASHAURI VIJANA IPITIE BENKI+video


Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Kigoma, Josephine Genzabuke amempongeza Rais Samia Suluhu kuagiza mikopo ya Halmashauri kwa vijana, wanawake na watu wenye ulemavu ipitie benki. Aidha Genzabuke ametoa pongezi hizo wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni Dodoma Aprili 6, 2023 ameitaka serikali kuweka utaratibu huo kwa vikoba na Saccos za wananwake nao wakopeshwe kupitia benki.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Genzabuke akitoa ushauri wake huo...
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
 MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 
 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana