Featured

    Featured Posts

NAIBU WAZIRI MBAROUK: BALOZI ZETI ZINAENDELEA KUWEKA MIKAKATI YA KUENDELEZA DIPLOMASIA YA UCHUMI+video



 Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mbarouk Nassoro Mbarouk akijibu swali bungeni Dodoma Aprili 4, 2023, amesema kuwa katika kutekeleza sera ya mambo ya nje, Balozi zinaendelea kuweka mikakati ya kuendeleza Diplomasia ya kiuchumi ikiwemo kutangaza bidhaa na mazao ya Tanzania. yanayoongoza kwa mauzo nje ya nchi.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video., Mbarouk jinsi balozi zetu zinavyoendeleza wa diplomasia ya kiuchumi pamoja na kutangaza mazao hayo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana