Featured

    Featured Posts

SERIKALI YAPOKEA TAARIFA YA TATHMINI YA UTEKELEZAJI WA MIRADI YA UVIKO-19 YAWEKWA HADHARANI+video

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, . Hamad Hassan Chande akipokea kutoka kwa Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Mzumbe,Profesa William Mwigoha taarifa ya Tathmini ya Utekelezaji wa Mpango wa Kukabiliana na Athari za Kijamii na Kiuchumi zilizotokana na UVIKO-19 kupitia fedha za mkopo nafuu kutoka Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) katika hafla iliyofanyika jijini Dodoma Aprili 4,2023.
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, . Hamad Hassan Chande (kushoto) akimkabidhi taarifa hiyo Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti na Mwenyekiti wa Bunge, Daniel Sillo

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, . Hamad Hassan Chande (kushoto) akimkabidhi taarifa hiyo, Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja.
 

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video. Naibu Waziri Chande, Profesa Henry Mollel wa Chuo Kikuu cha Mzumbe na Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Bajeti, Sillo wakielezea kuhusu mafanikio ya mpango na miradi hiyo....

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana