Featured

    Featured Posts

KINANA AKUTANA NA RAIS WA JAMHURI YA KISOSHALISTI YA VIETNAM.

Mei 18, 2023, Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara Ndg. Abdulrahman O. Kinana ameongoza Ujumbe wa CCM kwenye mazungumzo na Mhe. Vo Van Thuong, Rais wa Jamhuri ya Kisoshalisti ya Vietnam, Jijini Ha Noi, Viet Nam.

Katika mazungumzo hayo, Ndg. Kinana aliwasilisha ujumbe maalum kutoka kwa Mhe Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi, wa kuhimiza ushirikiano wa kiuchumi baina ya nchi  hizo mbili ili kuwanufaisha wananchi wa Tanzania na Vietnam.





 
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana