Featured

    Featured Posts

MJEMA: WATENDAJI JIPANGENI , MUWE NA MAJIBU KUTOSHA KWA WANANCHI+video


Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi wa CCM, Sophia Mjema amewataka watendaji kujipanga vizuri kuhakikisha wanawapatia wananchi majibu sahihi kuhusu maendeleo ya miradi nchini. Ametoa agizo hilo alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari kuhusu ziara ya kikazi ya siku saba ya Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo iliyohitimishwa Juni Mosi, 2023 kwenye Uwanja wa Mwembetokwa mjini Iringa.

Mdau, nakuomba uendelee kusikiliza kupitia clip hii ya video, Mjema akitoa agizo hilo....
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA MHARIRI BLOG YA TAIFA YA CCM 0754264203
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana