Featured

    Featured Posts

MKUTANO WA CHONGOLO SUMBAWANGA WAFANA

 

Sehemu ya umati wa wananchi wakiwa Uwanja wa Mandela Mjini Sumbawanga Oktoba 11, 2023 katika mkutano  wa kuhitimisha ziara ya siku 4 ya Katibu Mkuu wa CCM, Komredi Daniel Chongolo mkoani Rukwa ya kuimarisha uhai wa chama, kusikiliza kero za wananchi na kukagua utekelezaji wa Ilani ya chama hicho.







 IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
author

Author Name

Author Description!

Get Free Email Updates to your Inbox!

Post a Comment

www.CodeNirvana.in

Magazeti Ya Leo

Copyright © Magazeti ya Leo, Habari Leo Tanzania, Mwananchi, Michuzi, mwanaspoti, nipashe, Udaku | Designed By Code Nirvana