KIUNGO mshambuliaji, Owe Bonyanga Ituku akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Mashndano ya Yanga SC, Hersi Said baada ya kuwasili nchini kutoka kwao, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) tayari kujiunga na timu hiyo baada ya kuchezea klabu mbalimbali kwao ikiwemo TP Mazembe ya Lubumbashi. moja kwa moja ataungana na kikosi kilichopo Zanzibar kinachoshiriki Kombe la Mapinduzi.
Kulia ni Meneja wa Owe Bonyanga Ituku, Mutuale Nestoresangule kwa pamoja na Injinia Hersi Said, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Uwekezaji wa kampuni ya GSM
Post a Comment